Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester
Sengerema (kulia) moja ya kompyuta mpakato kuashiria makabidhiano ya
vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa kwa ajili ya kuimarisha majukumu ya
Bodi ya Filamu alipofanya ziara katika ofisi za Bodi na kukutana na
wajumbe wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(wapili kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Jasons Televisheni (JTV) Bw.
Sanstus Mtsimbe (kulia) alipotembelea studio za televisheni hiyo
kuangalia namna kazi za filamu zinavyoandaliwa jana Jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo na
wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester Sengerema
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(wapili kushoto) akiangalia moja studio za Starline Films zilizopo
Mikocheni alipotembelea studio hiyo kuangalia namna kazi za filamu
zinavyoandaliwa jana Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Filamu Bw. Silvester Sengerema na kushoto ni meneja wa studio za
Starline Films Bw. Silver Oddo
Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (kulia) akifafanua jambo
alipokua akizungumza na wafanyakazi wa Studio za Starline Films (hawapo
pichani) wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) kutembelea Studio
zinazojishughulisha na uandaaji wa kazi za filamu na muziki jana Jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester
Sengerema
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(waliokaa kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Studio za Wanene Bw. Darsh
Pandit (wapili kushoto) baada ya kuangalia baadhi ya kazi zilizoandaliwa
na studio hizo wakati wa ziara yake kutembelea studio mbalimbali
zinazojishughulisha na uandaaji wa kazi za filamu na muziki jana Jijini
Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(katikati) kiandika maoni yake katika kitabu cha wageni baada ya
kutemblea studio za Wanene zilizopo Mwenge wakati wa ziara yake
kutembelea studio mbalimbali zinazojishughulisha na uandaaji wa kazi za
filamu na muziki jana Jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo na kushoto ni Mkurugenzi wa
Studio za Wanene Bw. Darsh Pandit
Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (kulia) akitoa taarifa fupi
ya majukumu ya bodi ya filamu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) alipofanya ziara katika
ofisi za Bodi na kukutana na wajumbe wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar
es Salaam
Mwenyekiti
wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester Sengerema (kulia) akizungumza wakati wa
kikao cha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.
Harrison Mwakyembe (wapili kulia) alipofanya ziara katika ofisi za Bodi
na kukutana na wajumbe wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo na wapili
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Sanaa Bibi. Leah Kihimbi
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Filamu (hawapo pichani)
alipofanya ziara katika ofisi za Bodi na kukutana na wajumbe hao jana
Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi.
Joyce Fissoo
Baadhi
ya watumishi wa Bodi ya Filamu na wajumbe wa kamati ya maudhui ya
filamu wakifuatilia maagizo ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipofanya ziara
katika ofisi za Bodi na kukutana na wajumbe wa Bodi ya Filamu jana
Jijini Dar es Salaam.Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM
0 comments:
Post a Comment