Home » » KAMANDA GURUMO AREJEA KUSHAMBULIA JUKWAA BAADA KUPONA

KAMANDA GURUMO AREJEA KUSHAMBULIA JUKWAA BAADA KUPONA

Wasanii wa bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Gurumo (kulia) na Shaaban Dede, wakishambulia jukwaa katika viwanja vya Sigara Dar es salaam jana. Gurumo amerudi kwa kishindo baada ya kuwa benchi kwa wiki mbili wakati alipolazwa akitibiwa katika Hospitali ya Muhimbili.


Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onyesho lao lililofanyika katika viwanja vya klabu ya sigara Dar es salaam jana kushoto ni Eddo Sanga na Shabani Dede bendi hiyo leo ipo katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni.
Picha kwa hisani ya Sufiani Mafoto blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa