Home » » Ile Elfu Hamsini na Tano ya Wema yakataliwa na Diamond amwaga Chozi ukumbini Live.

Ile Elfu Hamsini na Tano ya Wema yakataliwa na Diamond amwaga Chozi ukumbini Live.


 Marafiki wa Wema Sepetu wakijaribu kumbembeleza wakati akimwaga chozi... huku watu wengine wakishangilia na kuimba aibu yetu au aibu yao???
 ...hapa mwanadada akijaribu kubembeleza bila matumaini.
 Msanii wa kizazi kipya, Ommy Dimpozzz akimpa sapoti Diamond...huku akitoa ushuhuda wa maisha yake na    ya Diamond walipotoka.
 ...baada ya ujumbe wa Ommy Dimpozz, Diamond alimwaga chozi na hapa 
 alikuwa akijifuta. Picha zaidi ingia http://kajunason.blogspot.com/


Kutazama show ilivyo kuwa bofya hapa chini
SHOW YA DIAMOND

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa