Gari la wagonjwa likiwa limefika hapo kwa ajili ya kumchukua mzungu huyo kumuwahisha hospitali
Baadhi ya wazungu wenzake wakijaribu kumuangalia mwenzao aliye gongwa muda mchache uliopita
Mzungu huyo aliye Gongwa akiwa amelala chini muda mchache uliopita huku akiwa ameumia vibaya
Mzungu aliye Gongwa muda mchache uliopita akiwa chini
Picha na ripota wetu maalum- Pat




1 comments:
Tanzania ye2 no sheria za maana... inasikitisha sana accidents every day. nipo kwa obama miaka mingi sijawai sikia wala ona mtu amegongwa na gari. awa jamaa hata mtembea kwa miguu akiamua kutembea barabarani hagongwi, gari zinamuheshimu mtembea kwa miguu.. hata bata wakiwa wanavuka barabara gari zote zinasimama, na uvukaji wa bata nadhani mnaujua....nchi zetu za afrika ustaarabu na utumiaji wa akili ni 0
Post a Comment