Home » » Mzungu agongwa na Gari muda Mchache uliopita na Kujeruhiwa vibaya maeneo ya kichwani Double Tree karibu na Slipway

Mzungu agongwa na Gari muda Mchache uliopita na Kujeruhiwa vibaya maeneo ya kichwani Double Tree karibu na Slipway

 Gari la wagonjwa likiwa limefika hapo kwa ajili ya kumchukua mzungu huyo kumuwahisha hospitali
 Baadhi ya wazungu wenzake wakijaribu kumuangalia mwenzao aliye gongwa muda mchache uliopita 
 Mzungu huyo aliye Gongwa akiwa amelala chini muda mchache uliopita huku akiwa ameumia vibaya 
Mzungu aliye Gongwa muda mchache uliopita akiwa chini 
Picha na ripota wetu maalum- Pat

1 comments:

Anonymous said...

Tanzania ye2 no sheria za maana... inasikitisha sana accidents every day. nipo kwa obama miaka mingi sijawai sikia wala ona mtu amegongwa na gari. awa jamaa hata mtembea kwa miguu akiamua kutembea barabarani hagongwi, gari zinamuheshimu mtembea kwa miguu.. hata bata wakiwa wanavuka barabara gari zote zinasimama, na uvukaji wa bata nadhani mnaujua....nchi zetu za afrika ustaarabu na utumiaji wa akili ni 0

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa