Home » » MAMA ASHA BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA YA CHAMA CHA ‘SHEREHE ARTS ASSOCIATION’ (SAA)

MAMA ASHA BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA YA CHAMA CHA ‘SHEREHE ARTS ASSOCIATION’ (SAA)


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo ilifanyika juzi Septemba 10, 2012.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi  Tuzo na zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi  ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi  Tuzo na zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi  ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa  Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada ya ufunguzi wa Semina elekezi  ya siku moja iliyoandaliwa na chama hicho kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam.Picha na OMR. 


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa