Home » » SIMANZI VYATAWALA MSIBA WA "JOHN STEVE MAGANGA"

SIMANZI VYATAWALA MSIBA WA "JOHN STEVE MAGANGA"


 
Wasanii wa Bongo Movies wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam leo.
 
Msanii wa Bongo Movies,  Husna Maulidi 'Lishez', akitulizwa na wenzake, Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movies, marehemu  John Maganga leo.
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza.
Padri  Evodius Miku wa Parokia ya Mwananyamala akinyunyiza maji ya baraka kwenye jeneza.
Dada wa marehemu, Janeth (katikati) akilia kwa uchungu.
Baba wa marehemu, Stephano Maganga (kulia), akiwa na uso wa huzuni.
                                                   Waombolezaji wakifuatilia tukio hilo.
ILIKUWA ni simanzi kubwa kwa  wasanii nchini  waliofika kwenye msiba wa msanii wa filamu, John Steve Maganga,  kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho.  Maganga aliaga  dunia Jumamosi  iliyopita na maziko yake yamefanyika leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo watu wengi walihudhuria.
                                                  STORI NA HARUNI SANCHAWA, GPL


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa