Home » » HIVI NDIVYO MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA ALIVYO AJERUHIWA NA RISASI JANA. TAZAMA HAPA

HIVI NDIVYO MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA ALIVYO AJERUHIWA NA RISASI JANA. TAZAMA HAPA




 Shabaan Matutu akionesha sehemu ya mkono wake wa kulia ambao ulipata
majeraha wakati polisi walipotumia nguvu kuingia chumbani kwake na
kumtwanga risasi iliyompiga upange wa kushoto wa kifua chake.
 Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Free Media inayochapisha magazeti ya
Tanzania Daima na Sayari, Shaaban Matutu akionesha jeraha lililotokana
na kupigwa risasi na Polisi katika tukio lililotokea usiku wa kuamkia
leo - baada ya polisi kuvamia nyumbani kwake Tegeta jijini Dar es Salaam
kwa madai ya kumtafuta mtuhumiwa waliyekuwa wakimsaka. Matutu kwa sasa
amelazwa Hospitali ya Muhimbili katika Kitengo cha Mifupa (MOI) kwa
ajili ya matibabu zaidi.
 Shabaan Matutu akionesha sehemu ya mkono wake wa kulia ambao ulipata
majeraha wakati polisi walipotumia nguvu kuingia chumbani kwake na
kumtwanga risasi iliyompiga upange wa kushoto wa kifua chake.
 Daktari aliyekuwa zamu katika Hospitali ya Mwananyamala akiangali picha
ya X-Ray ya Matutu mara baada ya kufikishwa katika hospitali hiyo na
kufanyiwa kipimo hicho, kabla ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Wafanyakazi wa Free Media, Khadija Kalili kushoto na Maria Kayala
(kulia) ambao walifika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kupata taarifa
za tukio hilo.Picha Zote na Habari na Dande Francis

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa