Mh. Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maji (kulia) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek katika mkutano ambao ulifanyika Ofisi ya Waziri, katika ziara iliyofanywa na Balozi huyo Wizara ya Maji leo mchana.
Mh. Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maji (katikati) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek (kushoto) na msaidizi wake Bi. Renet van der Waals anayefuatia. Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, Naibu Waziri wa Maji (wa kwanza kulia) na Mhe. Inj. Christopher Sayi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji anayefuatia (kushoto) katika mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri leo mchana.
Mh. Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maji (katikati) akiwa na mazugumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek (kushoto) na msaidizi wake Bi. Renet van der Waals anayefuatia (kulia). Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, Naibu Waziri wa Maji (wa kwanza kulia) na Mhe. Inj. Christopher Sayi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji anayefuatia (kushoto), katika mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri leo mchana.
0 comments:
Post a Comment