Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA 'CITIBANK'S'

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA 'CITIBANK'S'


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 12, 2013 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide na Mkurugenzi Mtendaji wa Citibank Tanzania, Joseph Carasso (kushoto) wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 12, 2013 kwa mazungumzo. Picha na OMR

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa