Home » » KAMATI YA KUDUMU BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI

KAMATI YA KUDUMU BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI


DSC_1724BMkuu
wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mhe. Hamza Hassan Juma, (Kulia) Kamishna
wa Utawala na Raslimali watu Clodwig Mtweve na kamishina wa Polisi
Zanzibar Mussa. A. Mussa  wakipitia hati ya maboresho ya Jeshi la Polisi
wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya Jeshi la Polisi, Dar-
es salaam jana. (Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi) DSC_1809AMkuu
wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa
kamati ya kudumu ya baraza la wawakilishi  Zanzibar (hawapo pichani)
wakati wa kikao cha pamoja kujadili mambo mbalimbali yahusuyo
usalama.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la
Wawakilishi Hamza Hassan Juma na kushoto ni Kamishna wa Utawala na
Raslimali watu Clodwig Mtweve kikao hicho kilifanyika Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi Dar es Salaam Jana (Picha na Frank Geofray wa Jeshi la
Polisi) DSC_1826CMkuu
wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akiagana na wajumbe wa kamati ya
kudumu ya baraza la wawakilishi  Zanzibar baada ya kumaliza kikao cha
pamoja cha kujadili mambo mbalimbali yahusuyo usalama kikao hicho
kilifanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam Jana (Picha na
Frank Geofray wa Jeshi la Polisi)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa