Home » » MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJADILIANO YA WADAU KUHUSU KUTOKOMEZA MAAMBUKIZI YA VVU TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO.

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJADILIANO YA WADAU KUHUSU KUTOKOMEZA MAAMBUKIZI YA VVU TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO.

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mheshimiwa Dkt. Seif Rashid, kwenye hoteli ya Serena alikoenda kufungua mkutano wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto tarehe 21.1.2014.
PICHA NA JOHN  LUKUWI IMG_3381 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) na Mheshimiwa Mama Zakhia Meghji, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, (kushoto), wakielekea kwenye chumba cha mkutano. IMG_3387 
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 21.1.2014.
IMG_3417 

IMG_3453 
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto uliofanyika kwenye hoteli ya Serena tarehe 21.01.2014. IMG_3457 
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 21.1.2014.
IMG_3563 
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto uliofanyika kwenye hoteli ya Serena tarehe 21.01.2014. IMG_3580 
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa majadiliano ya wadau kuhusu kutokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani). Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 21.1.2014. IMG_3703 
Dr. Khadija Mwamtemi kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili, alikuwa ni mmojawapo kati ya washiriki waliochangia mawazo yao mara baada ya mada mbalimbali kutolewa.

0 comments:

Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa