Muonekano mbele ndani ya ukumbi wa mikutano kabla mgeni rasmi hajawasili
miongoni mwa vikundi mbalimbali vikiwa vimefika kwaajiri ya uzinduzi huo
jinsi ukumbi ulivyo furika
watu mbalimbali walio weza kuhudhuria uzinduzi huo
miongoni mwa wanafunzi walio pata nafasi ya kuweza kufika wakiwa tayari kwa kushuhudia uzinduzi wa kampeni ya kitaifa usambazaji na uelewa wa rasimu ya pili
Endelea kufuatilia hapa
Picha zote na Dar es salaam yetu Blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment