Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid akisoma hotuba yake jijini Dar es Salaam wakati majadiliano kuhusu afya
ya mama na mtoto, lengo la majadiliano hayo ni kupunguza vifo kwa
wakinamama wajawazito na watoto chini ya miaka 5, iliwakutanisha wadau
mbalimbali kutoka Sekta binafsi na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa
kutoka Canada, Christian Paradis, Alexandre Leveque, Mwakilishi kutoka
Agha Khani, Amir Kurji.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
Waziri
wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada, Christian Paradis akisitiza
jambo wakati wa majadiliano majadiliano kuhusu afya ya mama na motto.
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao
0 comments:
Post a Comment