Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa
mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa
mazungumzo.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment