Home » » WANAJESHI WA JWTZ WAVAMIA NA KUHARIBU MAKAZI NA MAZAO YA RAIA ENEO LA KIMBIJI,WILAYA TEMEKE,DAR-ES-SALAM

WANAJESHI WA JWTZ WAVAMIA NA KUHARIBU MAKAZI NA MAZAO YA RAIA ENEO LA KIMBIJI,WILAYA TEMEKE,DAR-ES-SALAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wanajeshi wa jeshi la wananchi JWTZ (picha kutoka maktaba)

Kikosi Kimoja cha Jeshi la Wananchi JWTZ jiji Dar-es-salaam ,kimevamia maeneo ya wananchi na kuvunja makazi na kufanya uHaribifu mkubwa katika huko eneo la Kimbiji,Wilaya ya Temeke,Mkoani Dar-es-salaam,
hali hiyo ya mashaka imewaacha wananchi kuishi kwa mashaka bila ya kujua hatma ya masiha yao. Wenyeji wa Kimbiji ambao wanamiliki maeneo yao na ni wakazi wa asili maeneo hayo wamekuwa wakipata usumbufu na vitisho vya wanajeshi wenye nia ya kuwanyang'anya Ardhi kwa kutumia kufia za jeshi.
Vijimambo ilifuatilia swala hili kwa kuongea na mwenyekiti na yeye kuthibisha ni kweli wanasumbuliwa na kikosi hicho Msikilize hapo chini
Chanzo Vijimambo Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa