Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BREAKING NEWS LIVE MUDA HUU: VIUNGO VYA MIILI YA WATU VYAKAMATWA NDANI YA MIFUKO YA PLASTIKI ENEO LA BUNJU USIKU HUU

BREAKING NEWS LIVE MUDA HUU: VIUNGO VYA MIILI YA WATU VYAKAMATWA NDANI YA MIFUKO YA PLASTIKI ENEO LA BUNJU USIKU HUU

Tunaomba Radhi kwa Picha
 Mmoja ya Kiungo cha Mguu
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo

 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Viungo hivyo vimechukuliwa na  Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.


Endelea kufuatilia hapa.

PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa