RSM, Mtandao wa Kimataifa katika
ukaguzi wa mahesabu na tathmini za kodi, umesherehekea madhimisho
tano ya kila mwaka ya Siku Maalumu Duniani ya RSM—kwa kuchangia madawati
kwa shule mbalimbali za Dar es Salaam.
Mchango wa RSM, Mtendaji Mkuu wa RSM
Afrika Mashariki, Bi. Lina Rantasi alisema kuwa timu ya RSM imedhamiria
kusaidia jitihada za Serikali za kuokoa maisha na kuendeleza elimu.
Bi. Ratansi aliendelea kusema,”Kumekuwa
na wito mwingi wa kuchangia madawati, Na sisi hatutaki kubaki nyuma, ndo maana
tumetoa madawati 50 (3, 750, 000) ili kusaidia watoto wasika chini tena.”
Amesema madawati utasaidia
kuongeza uwezo na akili za watoto katika masomo, hivyo kuongeza ufaulu, kwa
sababu “motto akikaa chini hata ufahamu wake unakuwa mdogo.
Akipokea madawati hayo kwa niaba ya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Madawati-Mkoa wa Dar es
Salaam, Hamid Abdul Rahaman, amesema mchango wa RSM utasaidi kukuza sekta ya
elimu, na kuwapongeza Mtandao wa RSM kwa kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya
kuziwezesha shule kuwa na madawati ya kutosha.
Background:
hadamu kwani benki ya damu imepungua
kiasi cha kutokuwa na damu kabisa. Sisi hapa RSM tumeamua kuchukua hatua na
kuwahamasisha wengine kufanya kama hivi. Shime tuungane pamoja kuokoa maisha ya
Mtanzania.”
na sherehe kubwa zaidi za dira na
malengo ya pamoja ambayo mtandao huu huru wa sita kwa ukubwa wa ukaguzi, kodi
na ushauri wa kitaalamu haujawahi kufanya. Kupitia shughuli za aina mbalimbali
duniani kote, wafanyakazi katika mashirika ya RSM zaidi ya nchi 120
zilizounganishwa kwa njia ya mshiriki, mteja na matukio ya hisani katika
kusherehekea maadili ya msingi ya RSM ya utendaji kazi wa pamoja, uelewa wa
kina wa watu, kuchangia wazo na utambuzi kwa manufaa ya mteja.
RSM jijini Dar es Salaam imesherehekea
siku hii kwa shughuli mbali mbali za kijamii kama sehemu ya wajibu wake
kwa jamii. Timu imeianza siku kwa kuchangia damu katika Damu Salama. Wakati
akihojiwa, Vile vile timu ya RSM, itajumuika na wanafunzi wenye mahitaji maalum
katika Shule ya Msingi Mchanganyiko. “Watoto hawa wanahitaji mapenzi na misaada
ya hali na mali. Sisi hapa RSM tunafurahia kuwaonyesha kuwa wao ni sehemu
muhimu ya jamii yetu na wanathaminiwa katika ulimwengu huu.” Alisema Mtendaji
Mkuu wa RSM. Shirika na wafanyakazi pia limeichangia shule vyakula mbalimbali
na vifaa vingine kwa kwa ajili ya wanafunzi.
Kama sehemu ya kuendelea kusaidia sekta
ya Elimu, RSM pia imechangia madawati katika jiji la Dar es Salaam kupitia
Kamati ya Madawati Mkoa wa Dar es salaam. Hii ni kuunga mkono kampeni ya
kitaifa ya kuziwezesha shule kuwa na madawati ya kutosha.
Chapa ya RSM inaiwezesha kuelezea
vizuri uimara na uwezo wake wa kutoa huduma duniani kote kama mshauri wa
chaguo kwa soko la kati. Mtandao una mashirika katika zaidi ya nchi 120 na
unajumuisha wat
0 comments:
Post a Comment