Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Benno Ndulu (katikati)
akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)
(hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki hiyo wakati wa
Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu
majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14
Januari, 2017.
Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (kushoto) pamoja na
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa
Livingstone Kaboyoka (Mb) wakiteta jambo wakati wa Kikao cha siku mbili
cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki
hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14 Januari, 2017.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone
Kaboyoka (Mb) (wa pili kulia) akiwaeleza jambo Wajumbe wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC) pamoja Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati
hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika
jijini Dar es Salaam 13-14 Januari, 2017.
Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (wa pili kushoto),
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa
Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili kulia) pamoja na Viongozi mbalimbali
wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifurahia jambo wakati wa Kikao
cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu
majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es
Salaam 13-14 Januari, 2017.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE-DAR ES SALAAM)
0 comments:
Post a Comment