Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha Kutetea Abiria (CHAKUA) Hassan Mchanjama
(katikati) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) baadhi ya
vitabu feki vya tiketi vilivyokamatwa, wakati wa mkutano na waandishi
hao leo, Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Afisa Miradi wa Taifa
wa Chama hicho na Kulia ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Katibu wa
Marine Wilson Sylvester Damo.
Picha Na. Husna Saidi
Picha Na. Husna Saidi
0 comments:
Post a Comment