Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » CHAMA CHA ADC CHAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWASAMEHE KODI WAZEE

CHAMA CHA ADC CHAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWASAMEHE KODI WAZEE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Mwenyekiti wa Chama cha Allianc Democratic Change (ADC) Taifa, Hamad Rashid akifafanua jambo mbele ya wanahabari  juu ya kuipongeza serikali kwa kuwasamehe kodi za majengo wazee wa zaidi ya miaka 60,kwenye nyumba ambazo wanaishi na hazizalishi kipato chochote, jijini Dar es Salaam jana. kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Doyo Hassan.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa