Diwani
 Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu katika 
picha ya pamoja na watoto hao kabla ya kukabidhi msaada huo
| Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu (mwenye kitambaa chekundu kichwani) akimkabidhi msaada hiyo,Shukuru Saidi mara alipofika katika Kituo cha Hiyari ambapo alitowa vitu Mbalimbali ikiwemo Mchele na Sukari. | 
Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu akimkabidhi  baadhi ya msaada hiyo Mtoto Jamila Kibaja ambaye anasom Shule ya Msingi Mgulanilani Jijini Dar es Salaam
Diwani
 Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu akisunguma
 na wanahabari baada ya kutowa Msaad a hiyo katika kituo cha kulelea 
watoto yatima cha Hiyari
Moja wa watoto hao,Fatuma Chitanda 
(17) anayesoma katika Shule ya Sekondari ya Wailes akitowa shukrani kwa 
Diwani huyo na kumuombea azidi kuwakumbuka,wamejisikia faraja baada ya 
Diwani huyo kufika Kituoni hapo na alisema anaomba na wengine wazidi 
kuwapa faraja japo hata kuwatembelea nakujuwa changamoto zinazo wakabili
 zikiwemo na ufinyu wa eneo kwani hata pakuchezea hawana. 
0 comments:
Post a Comment