habari zilizonifikia hivi punde zinaeleza, aliekuwa Jaji wa Mahakama kuu, Jaji Upendo Msuya (pichani) amefariki dunia alfajiri ya leo nyumbani kwake tegeta baada ya kuugua kwa muda mrefu. Msiba upo nyumbani Tegeta, Jijini Dar es salaam.
Chanzo Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment