Askari
wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Koplo Grace Ndyamukama akimjulia
hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka
10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Kulia ni Mama wa mtoto Nasra Khalfan.
Mrakibu
Msaidizi wa Polisi (ASP) ambaye pia ni Mkuu wa kituo cha Polisi Reli
Martha Mdinka akimpa zawadi ya dawa ya meno, maji ya kunywa na juisi
Hadija Selemani ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake
Dawati la Jinsia.
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Rhoda Israel akimpa zawadi
ya juisi Sada Issah ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi
Wanawake Dawati la Jinsia.
Maafisa
wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli wakigawa zawadi za maji ya kunywa,
dawa za mENO, juisi, mafuta ya kupakaa, sabuni za kuogea na kufulia kwa
watoto waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa
Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Askari
wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Jane John akimpa zawadi za maji ya
kunywa, dawa ya meno, juisi, mafuta ya kupakaa na sabuni Maimuna Daud
ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
walipotembelea Taasisi hiyo leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka
10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Mrakibu
Msaidizi wa Polisi (ASP) ambaye pia ni Mkuu wa kituo cha Polisi Reli
Martha Mdinka akiongea jambo na wagonjwa walipotembelea Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10
tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Maafisa
wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya kumaliza kutembelea Taasisii ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na
kugawa zawadi za maji ya kunywa, dawa za meno, juisi, mafuta ya
kupakaa, sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto waliolazwa katika
taasisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu
kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi Wanawake Dawati la Jinsia.
Picha na JKCI
0 comments:
Post a Comment