Home »
» CHAMA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU DAR ES SALAAM
CHAMA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU DAR ES SALAAM
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Mmiliki
wa Ujijirahaa blog anaungana na ndugu jamaa, marafiki na wapenzi wote
wa Mpira na familia ya Athuman Chama katika kumuombea Dua na
kumsindikiza mpendwa wetu Chama katika kumpumzisha kwenye nyuma ya
milele, Mungu ampumzishe kwa amani ndugu yetu kipenzi chetu, pumzika kwa
amani Allah muondoshee madhila ya kaburini (Amiin). (PICHA KWA HISANI
YA UJIJIRAHAA BLOG) |
0 comments:
Post a Comment