Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada
ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA IKULU
0 comments:
Post a Comment