Enzi ya uhai wake
Picha ya wanandugu
Ndugu katika picha ya pamoja
mwili
utasafirishwa Januari 25 2018 kuelekea Machame Wilaya ya Hai Mkoa wa
Kilimanjaro ambapo taratibu za kumpumzisha katika nyumba yake ya milele
zinatarajiwa kufanyika Januari 26 2018 katika makaburi ya familia
yaliopo eneo la kitongoji cha Nkwetengya mida ya saa Nane mchana
Katibu Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Godfrey Nkini akizungumza jambo
Laura Silvesta Mattunda Lema akisoma wasifu wa mama yake mzazi
Mume wa mahemu Sylvester Mattunda (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa
Sylvester Mattunda Ukoo wa Lema (kulia) akito heshima zake za mwisho kwa mpendwa mke wake akiongozana na watoto
Wanandugu wakiuandaa mwili kabla ya kuto heshima za mwisho
Waombolezaji
wakipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester
Mattunda wakati walipokua wakitoa heshima za mwisho katika kanisa la
Ushirika wa KKKT Sinza Dar es Salaam
Mchungaji kiongozi wa Ushirika la KKK Sinza, Ibrahim Mnanka akiombea safari baada kuiendesha Ibada hiyo
Wauguzi
waliosoma na marehemu katika Chuo cha Uuguzi KCMC katika mwaka wa
1984-1987wakikabidhi shada la Ua kwa Familia ya Sylvester Mattunda baada ya kusoma risala yao fupi
0 comments:
Post a Comment