Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria
kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma baada ya kuhutubia
katika maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye
uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman
Omar Makungu, , Naibu spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na
Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Mhe George Mkuchika
katika picha ya pamoja na viongozi wa dini na Wakuu wa vyombo vya ulinzi
na usalama baada ya kuhutubia wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa
mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road
jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman
Omar Makungu, , Naibu spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na
Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Mhe George Mkuchika
katika picha ya pamoja na Majaji Wastaafu baada ya kuhutubia wakati wa
maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja
wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)
Mhe. Godwin Ngwilimi baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya mwaka
mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean
Road jijini Dar es salaam leo.
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment