Home » » Rais Samia apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais Samia apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan 
akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya
 Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi ambaye ni
 Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Mhe. Thérèse Kayikwamba Wagner, 
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa